У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kushoot Social Media Video (Shorts au Reels) Mwanzo mpaka Mwisho A to Z Sehemu ya Kwanza или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ultimate Filmmaking Course: https://joelmediaeducation.com/course... Social Media Video ( Reels au shorts) ni moja kati ya Content nzuri sana na pendwa kwa sasa, watu wengi sana wanatumia smartphone pamoja na tablet kutazama na kutumia mitandao ya kijamii hivyo kutengeneza aina hii ya video ni moja ya Mchakato muhimu wa kutengeneza Empire yako Online. Ukiachilia mbali kwamba Content Hizi zinapendwa pia rahisi kuandaa kuliko Long Form Video kwaajili ya Youtube. nk Hizi ni Microhpne Bora kwaajili ya Kurecord Video na Audio Content za bei zote : • Hizi ni Microhpne Bora kwaajili ya Kurecor... Dondosha maoni yako katika sehemu ya comment, share na wengine wajifunza, like na Subscribe ili uendelee kujifunza zaidi kupitia chaneli yetu. Premium Courses: https://joelmediaeducation.com/ Follow me on Instagram: / joelmedia_ Facebook: / joelkadagaz Email: [email protected] 0:00 - Logo Reveal 0:04 - Intro 2:20 - Camera pamoja na Lenses 6:50 - Audio & Audio Devices 8:55 - Lighting 13:40 - Shooting 14:58 - Recap 16:04 - End screen