У нас вы можете посмотреть бесплатно WAKULIMA WA MAHINDI MKOANI NJOMBE WAOMBA SERIKALI IFUNGUE MIPAKA YA NJE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
VYAMA VYA USHIRIKA NJOMBE VYALIA NA BEI NDOGO YA MAHINDI Vyama vya msingi vya vya wakulima [AMCOS] mkoani njombe vimesema kuwa bado kunachangamoto kubwa ya soko la mahindi licha ya serikali kutilia mkazo uuzaji wa mazao kupitia vyama hivyo ambavyo hununua mazao kwa wakulima. Viongozi wa vyama hivyo vya ushirika vya wakulima na fedha saccos wakiwa katika mkutano wa siku moja mjini njombe uliowakutanisha na mrajisi, mabenki na wanunuzi wa mahindi ikiwemo wakala wa waserikali wa kununua mahindi NFRA. Wamesema Baadhi ya wanunuzi wa zao hilo wakaeleza sababu zinazo changia zao hilo kukosa soko la uhakika. Nao badhi ya wawakilishi wa Mabank wameeleza fursa za mikopo ambazo zitasaidia vyama hivyo na wakulima kuwa na uvumilivu ili kufikia bei kubwa za mazao Mradi wa fo4acp kutoka shirikisho la vyama vya ushirika TANZANIA TFC umesimama katikati kutatua changamoto zilizopo kwenye zao la mahindi kwenye vyama vya ushirika ambao ndio wamewaunganisha wakulima na wanunuzi