У нас вы можете посмотреть бесплатно Biashara 9 Unazoweza Kufanya Ukiwa Umeajiriwa. Faida uhakika💯 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Linapokuja swala la kuingiza kipato, Ajira imekuwa ni njia moja ya uhakika sana ya kuingiza kipato. Japokuwa kipato chake ni kidogo mnoo kutokana na maisha ya sasa yapo juu sana yanahitaji pesa kila siku. Hivyo mtu uliyeajiriwa ni muhimu kufikiria kufanya kitu kingine ambacho kitakuingizia pesa ya Ziada ili usibakie kusubiria pesa ya mwisho wa mwezi tu.. Katika video hii nimeeleza biashara 9 unazoweza kufanya ikiwa umeajiriwa. Jifunze kisha anza na wewe kufanya kwa vitendo UNAWEZA TAZAMA PIA; 1.Fursa 8 za Biashara ya Chakula zinazolipa sana👇 • Fursa 8 Zinazolipa Sana Kwenye Biasha... 2.Jinsi Ya kuuza Chupi ukiwa Chuoni👇 • Jinsi Ya Kuuza Chupi Ukiwa Chuoni...👙 3.Video mbalimbali zinazohusu Biashara Na Uwekezaji👇 • Biashara na uwekezaji _____________________________________________________ _____________________________________________________ SUPPORT BIASHARA YANGU🥰 I hope unajifunza vingi kupitia Channel hii Tena BURE kabisa...😊 Naomba Support yako Katika Biashara yangu Ya Printing ili niendelee kutoa elimu bila kuchoka ktk channel hii.👇 1.Naprint Picha Mbao Na kutuma mikoani. A5-7000 A4-12000 A3-25000 A2-45000 A1-85000 2.Pia Naprint picha Saa, Matshirt, Jezi, Vikombe, Kofia Unaweza Tembelea Akaunti Yangu Instagram kisha ukanifollow👇 https://www.instagram.com/kakawanted_... Au ukaja WhatsApp Moja Kwa Moja kupitia Namba +255656781501 au kupitia link hii👇 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 ______________________________________________________ ______________________________________________________ COURSES NA HUDUMA ZANGU 1.Naset Matangazo Ya sponsored ads Instagram na Facebook kwa shilingi 30000(mara ya kwanza), na 10000 mara ya pili na kuendelea.. 2.Natatua Tatizo la Akaunti kufungwa na Matatizo mengine kwa 50,000/= 3.Nafundisha Course ya Sponsored ads masterclass kwa usimamizi wa mwaka mzima Pamoja na kutatua matatizo yote ya sponsored ads wewe mwenyewe kama akaunti kufungwa, kukwepa madeni nk. (Video zipo 44, Bei ya course ni 50,000/= 4.Nafundisha jinsi ya kutengeneza na kuedit video aina zote kama vile Lyrics, matangazo, Video za Youtube kwa kutumia smartphone Bei ya course 60,000/= 5.Nafundisha Youtube Marketing. Jinsi gani unaweza kulipwa kwa kuupload videos kwenye channel yako. Gharama Ya Course ni 70,000/= 6.Natengeneza Matangazo proffesional Ya Videos Bei ni 150,000/= kwa Tangazo moja KUJIFUNZA COURSE HIZI Na KUPATA HUDUMA HIZI, wasiliana nami whatsApp Kupitia link👇 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 NOTE⚠️(Youtube jifunze Bure, ila whatsapp Sina huduma ya Bure) ---------------------------- ---------------------------- MAWASILIANO: Hello, Naitwa Ezrah Mhonda, Ni mjasiriamali wa mambo ya Mitandao. Nasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali kukuza biashara zao kupitia Mitandao ya kijamii. Pia nafanya Biashara ya Printing. INSTAGRAM A.👇 / wantedlifemarketing INSTAGRAM B👇 https://www.instagram.com/kakawanted_... WHATSAPP:👇 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 au +255656781501 EMAIL:👇 [email protected] au [email protected]