У нас вы можете посмотреть бесплатно Mh Mchungahela Vitendo vinaongea/Zaidi ya milioni mia Tano sitini (560,000,000) secondary Mnavira или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ofisi ya Mbunge Jimbo la lulindi inaendelea na ziara ya kutembelea miradi katika Jimbo la lulindi,ambapo siku za hivi karibuni team ilifika katika shule ya secondary mnavira. mh. Issa Ally #mchungahela mbunge wa Jimbo la lulindi kwa jitihada zake za kuwatumikia wanchi aliweza kuleta shuleni hapo shilingi milioni mia Tano na sitini (560,000,000) kwajili ya majengo mbali mbali. ktk shule hiyo pamejengwa madarasa matatu (3) ofisi, maabara tatu (3), chemistry, biology na physics, Jengo la utawala,vyoo ambavyo matundu sita (6) wavulana na sita (6) wasichana, maktaba,chumba Cha computer.