У нас вы можете посмотреть бесплатно MTANZANIA MWENZANGU ALIVYOSABABISHA NIFUNGWE JELA ULAYA | SAFARI YA UKIMBIZI WENGI WALIFIA NJIANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Safari ya maisha ya Jasmin kutoka Tanzania na kuhitaji kuingia Ulaya kutafuta maisha Alipata mchongo wa safari ili akifika Ulaya aweze kujilipua lakini mambo yalienda ndivyo sivyo na kuishia kua Deported akiwa ametua tu Ufaransa hata nje ya airport hajatoka. Na alipoingia Ulaya mara ya pili basi aliishia kuingia Jela nchini Ugiriki ambako alikaa huko kwa muda wa miezi sita. Mtanzania mwenzie alimuingiza mkenge na kumsababishia matatizo makubwa kwa kumuibia passport yake. Lakini hakukata tamaa aliamua kutafuta mbinu za kumtoa Ugiriki ili afike Ujerumani na hivyo alianza michakato ya safari za ukumbizi ambayo haikua rahisi na ilikua na changamoto nyingi na kuishia kukaa jela tena katika nchi ya Albania na Macedonia Kwasasa anaishi Ujerumani na anafanya kazi huko. Thank you Jasmin for allowing this to be online www.oda.international