У нас вы можете посмотреть бесплатно USITEMBEE Kwa MIGUU! CHUKUA GARI KWENYE MNADA HUU Kwa BEI ya JIONI... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
USITEMBEE Kwa MIGUU! CHUKUA GARI KWENYE MNADA HUU Kwa BEI ya JIONI... MASETO Auctioneer & Debt Collectors ni kampuni ya Udalali inayojihusisha na ukusanyaji wa madeni sugu na kufanya minada ya bidhaa Mbalimbali zilizotaifishwa kisheria ambapo Makao Makuu yake ni Maeneo ya Lumumba Mnazi mmoja jijini Dar es salaam. Hata hivyo Kampuni hii inafanyakazi na taasisi za kifedha kama vile, mabenki, SACCOS, Serikali pamoja na watu binafsi. KAMPUNI imeandaa mnada Maeneo ya Sinza jijini Dar es salaam ambapo wanatarajiwa kuuza magari mbalimbali yaliyopata ajali kwa bei nafuu kabisa, ambayo ukirekebisha kidogo tu yanaingia barabarani yakiwa mapya kabisa... MASETO Auctioneer & Debt Collectors wanapatikana kwa namba zinazoonekana hapa chini CC: @msetoauctioneer www.masetodebtcollectors.co.tz Phone: 0787288442 au 0623382878