У нас вы можете посмотреть бесплатно Hatua Zote za Kuhakiki Cheti Rita Kwa Simu Yako | Mfumo Mpya 2023 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hakiki cheti chako rita kwa simu yako kwenye mfumo mpya ulioanzishwa mwaka 2023, Mfumo huu ni kwa ajili ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya vifo kwa ajili ya kuomba mkopo wa heslb. Kuna hatua za kufuat ili kuweza kuverify vyeti / cheti cha kuzaliwa kwa kutumia simu yako au kompyuta. Video hii inaonesha steps zote/ hatua zote za kufuata kuanzia kwenye kujisajili kwenye mfumo wa rita online (eRITA) na kutumia akaunti yako kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa. Tumeonesha namna ya kuhakiki cheti na namna ya kulipia cheti rita kwa ajili ya uhakiki, kulipia cheti rita kwa kutumia simu ni niia rahisi ambayo tumeona inaweza ikatumika na watu Wengi, #uhakiki_wa_cheti_rita tayari unaendelea kwa ajili ya maandalizi ya uombaji wa mkopo wa elimu ya chuo. Unaweza ukatumia link hii kuanza hatua za uhakiki kama ilivyooneshwa hapo kwenye video hii, Start the process here: https://www.ajirampyazone.com/2023/06... Verify vyeti rita bila usumbufu wa kwenda stationary. CONNECT WITH US!!! ⬇️ TWITTER https://twitter.com/UtumishiPortal?s=09 INSTAGRAM / utumishiportals LINKEDIN / utumishiportal YOUTUBE / ajirampyazonemedia FACEBOOK PAGE / utumishiportal