У нас вы можете посмотреть бесплатно Jukwaa la Nilewell laundwa kuwaunganisha waandishi wa habari, watafiti na wanamazingira или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kufuatia usumbufu pamoja na kuzungushwa kwa waandishi wa habari wakati wakihitaji kupata tafiti na takwimu mbalimbali za hali ya mazingira na uhifadhi wa vyanzo vya maji ndani na nje ya tanzania, Taasisi ya waandishi wa habari ya InfoNile yenye makao yake makuu nchini Uganda imekuja na suluhisho la tatizo hilo kwa kuwakutanisha waandishi na wataalamu wa tafiti hizo katika jukwaa moja liitwalo NILEWELL. Waandishi hao ni kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, Ethiopia, Eritrea, Sudani Kusini, Sudan na Misiri.