У нас вы можете посмотреть бесплатно KIBURI || Kenhut Youth Choir (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIBURI || Kenhut Youth Choir (Official Video) Video Produced by: Enovarts Creatives Director:Leyman Composed by: Sharon Johnson Sang by: Kenhut Youth Choir Gmail: aykenhut@gmail.com LYRICS Kuna yule aliyejifanya kuwa ni Mungu mbinguni kiburi kikamuingia akaelekea kwenye kile kiti cha mfalme matukio yakawa magumu machungu kwake yeye aliyetaka kubadili uongozi wa mbinguni ndivyo vita vikazuka mbinguni. Hauna mamlaka wewe joka uliyetupwa toka mbinguni ukatupwa na malaika wako mpaka kuzimu kiburi kilichokuinua kikafanya upigane naye Mungu ukakosa nafasi yako pale mbinguni nawe mkristo dhawabu yako iko mbinguni chunga kiburi kisiwe chanzo cha kuanguka kwako. Usiwe na kiburi wewe kiumbe cha Mungu duniani ukawa kama kipofu kwa mambo yale ambayo Mungu amekubariki uwe mkarimu mnyenyekevu mpole katika kila jambo utakalotenda tenda wema na uende zako utalipwa na Mungu.