У нас вы можете посмотреть бесплатно MILLARD AYO | THE LEGEND SHOW EPISODE 11 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Millard Afrael Ayo (alizaliwa Arusha, 26 Januari, 1986) ni mtangazaji, mwandishi wa habari na mwanablogu kutoka nchini Tanzania. Millard anafahamika sana kwa kipindi chake cha Amplifaya katika redio ya Clouds FM. Alianza kutambulika baada ya kujiunga na ITV/Radio One mwaka 2008 kabla ya mwaka 2010 kujiunga Clouds FM. Millard Ayo, vilevile anamiliki tovuti ya habari za ndani na nje ya Tanzania inayoitwa millardayo.com ambayo ni moja ya tovuti bora nchini Tanzania. Mbali na hayo, Millard anayo idhaa katika YouTube inaitwa Ayo TV. Idhaa hiyo inatoa habari mbalimbali na inatenda kama televisheni mtandaoni. Ayo amekuwa maarufu Afrika Mashariki kwa wepesi wa kutoa habari kwa haraka. Matukio ya siasa, michezo na burudani amekuwa akiyafikisha kwa watu mbalimbali kwa wakati husika. Yako mengi ambayo huyajui kuhusu huyu nguli wa habari, fungua Tanzanite Premium Vodka kunywa kidogo kisha fuatilia kwa makini The Legend show.