У нас вы можете посмотреть бесплатно 📺🔴LIVE: MGOMO WA MADAKTARI MOMBASA KUPINGA KUSIMAMISHWA KAZI KWA DKT. KANDWALA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#news #reels #live #mombasa #breakingnews #mombasakenya #viralvideo #newsupdate #habari #kenyanews #tanzania #socialmedia #youtubecommunitypost #live #kenya #freepalestine #palestine 📡 Watch LIVE on: Al-Haajar Tv 🔴 Website: www.alhaajar.tv 📲 Facebook | YouTube | My Al-Haajar App 🔗 Download the Al-Haajar App today for a seamless viewing experience. Available on both Google Play Store & Apple App Store. Madaktari wa Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Coast General NA chama cha madaktari KMPDU wametoa notisi ya mgomo wa siku saba kupinga kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mtendaji Dkt. Iqbal Kandwala wakisema kuondolewa kwake ilikuwa kiasias. Kampuni ya AMSON Group wasimamizi wakuu wa kampuni Bamburi Cement, ikiongozwa na muakilishi wa kitaifa tawakal rajab sumba , imeendeleza mpango wake wa kusambaza chakula wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, unaolenga kusaidia familia zaidi ya elfu 4 katika maeneo ya Nairobi Machakos Mombasa na matuga katika kipindi hiki cha ibada na mshikamano. Kamati ya (COIN-10) imelaani ghasia katika mikutano ya kisiasa, ikisema zinakwenda kinyume na maridhiano yaliyoasisiwa na hayati Raila Odinga. Kamati hiyo, iliyoundwa na vyama vya UDA na ODM, imewataka wanasiasa kudumisha amani na ujumuishi wakati wanapoendeleza siasa zao. 📢 Stay Connected: 📷 Instagram: @alhaajartvkenya 🐦 Twitter (X): @alhaajartvkenya 📘 Facebook: @alhaajartvkenya ▶️ YouTube: @alhaajartvkenya 🎵 TikTok: @alhaajartvkenya 🌎Website: www.alhaajar.tv 🔥 LIKE, SHARE & SUBSCRIBE for more inspiring content! 🔥 ©️ Al-Haajar TV Kenya 2026