У нас вы можете посмотреть бесплатно WAKULIMA WANUFAIKA NA KILIMO HIFADHI GEITA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakulima wa mahindi na mboga mboga wa vijiji vya Bunegezi ,Nyakato na Ilolanguru Wilayani Geita wamepongeza juhudu ambazo zimefanywa na kanisa la AIC dayosisi ya Geita kwa kuwafundisha Mbinu za kisasa za kilimo cha Mahindi na mboga mboga ambacho kwa kiasi kikubwa kimewasaidia kuongeza mazao kwa wepesi na kusaidia kuhimili hali ya ukame kutokana na mafunzo waliyopatiwa. Wakizungumza kwa vipindi Tofauti baadhi ya wakulima wamedai kilimo walichokuwa wakilima hapo nyuma walikuwa wakipoteza nguvu nyingi na muda wao lakini mavuno yalikuwa machache tofauti na hali ilivyo kwa sasa tangu wapatiwe mafunzo ya kilimo hifadhi.