У нас вы можете посмотреть бесплатно Maandamano yafanyika Kenya kupinga hali ngumu ya maisha или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga walijitokeza kupinga hali ngumu ya maisha katika jiji la Nairobi. Ungana na mwandishi wetu akieleza hali ilivyokuwa katika mkusanyiko huo wakieleza mfumuko wa bei za bidhaa muhimu ulivyoathiri maisha yao. #maandamano #kiongoziwaupinzani #railaodinga #kenya #maisha #nairobi #voa #voaswahili - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.