У нас вы можете посмотреть бесплатно BARABARA MBAE MTWARA YAWATESA WANANCHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbae Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wamelalamikia hali ya uwepo wa mashimo kwenye barabara kuanzia Pacha ya Mbae kwenda Mkangala. Hayo yamejili Mei 9,2024 wakati wakifanya mahojiano na Khomein Tv ambapo James Tobias mkazi wa Mbae Mashariki amesema kero kubwa ya barabara hiyo ni uwepo wa mashimo yanayosababisha ubovu kwa vyombo vya usafiri jambo na kupelekea wananchi kutopata huduma ya usafiri kwa wakati. KhomeinTvUpdates ✍️ Zamzam Jambia PIA USIACHE KU SUBSCRIBE CHANEL YETU Khomein TV YOUTUBE UWE WA KWANZA KUFIKIWA NA HABARI ZETU Follow Insta @khomeintv_ Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok @khomeintv na Facebook Khomein Tv