У нас вы можете посмотреть бесплатно Wanawake - Mtoni Choir Ninga (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
▬▬▬▬🔔☘ Thanks For Watching☘ 🔔▬▬▬▬ 🎧If you like video please 🍁SUBSCRIBE⚡LIKE🔥SHARE🌞COMMENT🎼 Be sure to subscribe if you want to be notified of every new video! We upload daily! Karibu kusikiliza wimbo wa WANAWAKE ulioimbwa na kwaya ya - Mtoni Choir Ninga Ni kwaya ya vijana kutoka Kanisa la FPCT, kijiji cha Ninga, wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa Tanzania, kipindi wimbo huu unatoka mwaka 2008 Ninga ilikuwa chini ya wilaya ya Sumbawanga Vijijini. ALBUM; MAKAMANDA WA YESU WIMBO : WANAWAKE TRACK; NO 4 MTUNZI : CHARLES SINKAMBA WAIMBAJI : MTONI CHOIR, NINGA, RUKWA AUDIO : MTONI CHOIR VIDEO : SHINE VIDEO PRODUCTION MBEYA ©2026 IMEHIFADHIWA NA KULETWA KWAKO NA: MATO FALI GMAIL: rubenmatofali@gmail.com (+255766406461) Wimbo huu ukawape Wanawake ujasiri wa kuelewa na kuzingatia haya Mit 31:10-31 SUV (Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake. Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu. Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi. Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa. Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.) AMEN. #gospelmusic #choir #trending #worshipmusic #nyimbozainjili