У нас вы можете посмотреть бесплатно ITAKUSHANGAZA YALIYOJIFICHA UNUNIO SEHEMU TULIVU, MATUKIO YA KUTISHA, MWENYEKITI AFUNGUKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ununio ni moja ya maeneo yaliyopo wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, likiwa kaskazini mwa Jiji jirani na Bahari ya Hindi. Eneo hili lililo jirani na Mbezi Beach na Tegeta linajulikana kwa kuwa na fukwe nzuri na mandhari ya utulivu, likikua kwa kasi katika maendeleo ya miundombinu ya makazi. Ununio ikiwa moja ya mitaa katika Kata ya Kunduchi ina wakazi 7,469 kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa huo, Mwinyijuma Shehe. Hata hivyo, kama maeneo mengine ya pembezoni mwa jiji, Ununio bado lina maeneo ambayo hayajapimwa vizuri, huku kukiwa na nyumba zilizokamilika ujenzi lakini hazikaliwi na watu, zingine zikiwa hazijakamilika ujenzi.