У нас вы можете посмотреть бесплатно MIL.5 ZAMTESA JOYCE KIRIA/AOMBA MSAADA.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanaharakati wa masuala ya wanawake Joyce Kiria amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kulipa faini ya milioni 5 anayotakiwa kuilipa kutokana na kuweka maudhui kwenye mtandao wa Youtube bila kufuata taratibu za kusajili. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kiria ameweka wazi kuwa alifanya kosa bila kujua kwakua alidhani kwa maudhi anayoyaweka hayahitaji usajili kama ilivyo kwa wanaotumia mtandao huo kujiingizia kipato. "Maudhui ambayo nadili nayo ni ya kusaidia jamii, sikujua kama natakiwa niwe na leseni kwasababu najua maudhui yangu sio ya bishara, wakati naendelea na harakati zangu nilijua hayahitaji kuwa na leseni, kutokujua sheria haikupi uhalali wa kutenda kosa, nilishikiriwa na jeshi la polisi kwa muda wa siku nne na sasa nipo nje kwa dhamana na natakiwa kulipa faini ya milioni 5 ambayo kiukweli hiyo hela sina kwasababu kazi zangu mimi, mimi ni mtu ambaye naweza kukosa hata laki moja, nomba mnisaidie niweze kulipa faini na niendelee na harakati zangu" "Kwa wengine waliokuwa wanafikiri kama mimi mjifunze kutoka kwangu, mkakate leseni, nipo kwenye wakati mgumu lakini kudondoka kupo au changamoto zipo kwenye maisha hili limenitikisa kiasi chake". 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com