У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING NEWS! | Gwajima Ajilipua | Atamka Mazito Kuhusu Idara Ya Usalama wa Taifa na Utekaji или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BREAKING NEWS: Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe kwa tiketi ya CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho tawala, amefanya mkutano na waandishi wa habari ambao haukutarajiwa na wengi kuhusu aliyoyaongea. Huku akitahadharisha kuwa anadhani kuna watakaotafsiri vibaya aliyoyaongea, na kwamba atarudi tena endapo atajitokeza yeyote kumvamia, Akofu Gwajima aliongea janga la utekaji, Idara ya Usalama wa Taifa, na jeshi la Polisi. Video hii ina sehemu mbili. Ya kwanza ni alichoongea mwanasiasa huyo abaye pia ni kiongozi wa kidini, na sehemu ya pili ni tafsiri pana, ya kiintelijensia kuhusu "aliyoyaongea bila kuyatamka". Je huu ni mwanzo mpya katika kushughulikia jana la #WatuWasiojulikana na utekaji? Je kuna wana-CCM wengine watakaojitokeza kuongelea hilo? 🔔 📢💬 Commenti ✍️ | 👍 Like | 🔁 Share | 🔔 Subscribe hapa 👉 / @jasusitv Tangazo: Pata kopi ya kitabu cha "WATU WASIOJULIKANA" chenye mbinu za kiintelijensia za kujilinda, kutambua hatari, na kuepuka utekaji. ⚠️ Ikiwa unahisi unaangaliwa, unafuatwa, au uko hatarini—hiki ndicho kitabu chako. 👇 Bonyeza hapa kupata nakala yako sasa https://go.chahali.com/wasiojulikana #BishopGwajima #UsalamaWaTaifa #Tanzania #Utekaji #watuwasiojulikana