У нас вы можете посмотреть бесплатно Kocha Gamondi asaini mkataba kuinoa Taifa Stars; Waziri Makonda, Karia wazungumza. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Akizungumza katika hafla fupi ya utiaji saini wa mkataba huo, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Gamondi amestahili mkataba huo baada ya kuonesha uwezo katika michuano ya AFCON 2025 iliyofanyika Morocco hivi karibuni na kuingoza Taifa Stars kufika hatua ya 16 ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania akiwa kocha wa muda. “Serikali sasa imeamua kumwajiri rasmi ili aiongoze timu hiyo katika jitihada za kunyakua ubingwa wa AFCON 2027, ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo,” amesema Makonda.