У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT. JAFO AMEKAZA MAFIZI KITOMONDO 🛣️🔥DAKU NA IFTAR NI HAPA! MPAKA DARAJA LIKAMILIKE! 💪🏽🚧 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DKT. JAFO AMEKAZA MAFIZI KITOMONDO 🛣️🔥DAKU NA IFTAR NI HAPA! MPAKA DARAJA LIKAMILIKE! 💪🏽🚧 Dkt. Selemani Jafo, Mbunge wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, ametangaza kuweka kambi maalum katika eneo la ujenzi wa Daraja la Kitomondo lililopo barabara ya Mzenga–Gwata, kwa lengo la kuharakisha ukamilishaji wa mradi huo na kuondoa adha kwa wananchi hususan nyakati za mvua. Akizungumza wakati wa ziara ya kikazi katika Kata za Mzenga na Mafizi, Dkt. Jafo alisema daraja hilo ni kiungo muhimu kwa vijiji vya Mafizi, Nyani, Gwata na Ving’andi, na kuchelewa kwake kumeathiri usafiri wa wanafunzi, wagonjwa na shughuli za kiuchumi. Daraja hilo linajengwa na Neloyt Tanzania Limited kwa gharama ya Sh milioni 359.67 chini ya usimamizi wa TARURA. Meneja wa TARURA Wilaya ya Kisarawe, Eng. Africano Orota, amehakikishia kuwa usimamizi utaimarishwa ili mradi ukamilike kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx