У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING: Shilole Amepata Msiba Mzito Leo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BREAKING: Shilole Amepata Msiba Mzito Leo MZAZI mwenziye na Staa wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohammed , aliyejulikana kwa jina la Makala Elia Joseph, amefariki dunia leo Jumanne, Juni 5, 2018 nyumbani kwao Wilayani Igunga mkoani Tabora alikokuwa akiishi. Akizungumza na www.globalpublishers.co.tz, Shilole amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kusema amepokea taarifa hizo kwa masikitiko makubwa. Shilole ameeleza kwamba kesho ataanza safari kuelekea Wilayani Igunga kwa ajili ya kuungana na ndugu, marafiki na waombolezaji kwa ajili ya mazishi ya mzazi mwenzake huyo. Shilole na Elias wamejariwa kupata mtoto mmoja wa kike aitwaye, Joyce Elias (ambaye ni mtoto mkubwa wa Shilole). Global Publishers inawapa pole wafiwa wote wa familia hiyo kwa kipindi hiki kigumu. “Pumzika kwa Amani Elias Makala, Amen!” Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .