У нас вы можете посмотреть бесплатно Neema - Vestine & Dorcas (Official video 2024) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MIE Presents . Writers : M.Martin &M.Irene Audio: Santana Video: Chriss Eazy Ass Director:Sinta Filmz ,set Manager Niwardu &Hussein Traole,Rodicked,starring :Rufonsina Guitars: Arsene & Gasige , keys :Ishimwe Photographer : xander (MINE PICTURES) costume designer : Incabure EXECUTIVE PRODUCER: MIE Entertainment LTD Neema 🙏 LYRICS: Nimezaliwa katika familiya iliyo zalauliwa sana Maisha magumu sana hayo Ndio Nimepitiya Nilithamani sana kujiua lakini habikuwezekani matajiri waliponiona wakauliza mtoto huyu ni wanani waliniceka Nilicekelewa sana Nami nilikuwa naona walikuwa na Sababu. Ulikubali ukamuaga Damu yako Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure Muanadamu mwenye dhambi Ohh ohh Neema yako Niliona CHORUS: Neema Yako na Upendo ni ya ajabu Asante kwa Damu yako imeniokowa sijui niseme nini mbere zako baba asante kwa yote olionitendeya Njaa kiwu na machozi huzuni ,kuhukumiwa na wengi na majaribu mengi hapo ndipo, umunitoa ukanipandisha historiya yangu yote ikabadilika Bila wewe baba mimi ningekuwa wapi bila upendo wako ningekuwa mbari bira wema na fadhili zako baba ningekufia gizani Ulikubali ukamuaga Damu yako Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure Muanadamu mwenye dhambi Ohh ohh Neema yako Niliona CHORUS: Neema Yako Na Upendo ni ya ajabu Asante kwa Damu yako imeniokowa sijui niseme nini mbere zako baba asante kwa yote olionitendeya End. MIE Music "Jesus is Our Shepherd "