У нас вы можете посмотреть бесплатно RAIS SAMIA AMEKAMILISHA MRADI MKUBWA wa MAJI MAISOME - BUCHOSA kwa MBUNGE SHIGONGO... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RAIS SAMIA AMEKAMILISHA MRADI MKUBWA wa MAJI MAISOME - BUCHOSA kwa MBUNGE SHIGONGO... Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ametiza ahadi ya ujenzi wa mradi mkubwa maji ya bomba utakao huduma wakazi 16983 wa kisiwa cha Maisome kilichopo Jimbo la Buchosa. Shigongo amemshukuru Rais Dk Samia Suluhu Hasan kwa kutoa fedha za kutekeleza mradi huu ambao utawasaidia wananchi kupata maji safi na salama. Mradi huo nimoja ya ahadi alizozitoa Kwa wananchi wa Maisome juu ya kuwaletea mradi wa maji ya bomba ili kuepuka kushambuliwa na mamba wakati wanapokwenda kuteka maji ziwa Victoria. " Katika jambo linaloniumiza Mimi Shigongo nikusikia taarifa ya mwananchi kupoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba anapokwenda ziwa Victoria kufanya shughuli za kibinadamu huwa naumia sana ndiyo maana Leo nimeleta mradi maji ili kuondoa adha hiyo kwa wananchi, amesema Shigongo Kata ya Maisome ni miongoni mwaka Kata 11 kati ya Kata 21 zinazounda Halmashauri ya Buchosa zilizoko kandokando mwa ziwa Victoria ambazo wakazi wake hupoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba wakati wanakwenda kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya ziwa Victoria. Kisiwa cha Maisome ni miongoni mwa Kata 21 zinazounda Halmashauri Buchosa Ina vijiji vitatu ambavyo ni Kanoni, Busikimbi, Kisiba inaidadi ya watu 16983 na idadi ya kaya 1283 Wananchi wa kisiwa cha Maisome wamempongeza mbunge wa Buchosa Eric Shigongo kwa kuwaletea mradi wa maji ya bomba ambapo utawasadia wakazi hao kuacha kwenda ziwani na kuepuka kuliwa na mamba. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx