У нас вы можете посмотреть бесплатно CRDB NA WORLDREMIT WARAHISISHA UTUMAJI NA UPOKEAJI WA FEDHA KUTOKA NJE YA NCHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Benki ya CRDB kwa kushirikiana na shirika linalotoa huduma ya kutuma pesa kidijitali WorldRemit, leo zimetangaza ushirikiano unaowarahisishia Watanzania mchakato wa kutuma pesa kidigitali kutoka mataifa mbalimbali duniani. Huduma hii mpya itawawezesha raia Watanzania kutoka mataifa zaidi ya 50 kote duniani kutuma na kupokea pesa kupitia mtandao wa zaidi ya matawi 260 ya Benki ya CRDB. Akizunguma katika hafla hiyo, Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wa kati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa alisema kuwa Benki ya CRDB imefurahishwa na ushirikiano wao na WorldRemit, Huku kukiwa na raia wengi wanaofanya kazi nchi mbalimbali, hivyo wamejitolea kufanya utumaji pesa kuwa rahisi na salama. "Huduma hii ya kutuma pesa inafanyika haraka na kwa gharama nafuu sana. Kwa sasa, wateja wetu wanaweza kupata huduma hii ya kutuma na kupokea pesa katika matawi yetu yote 260 yaliyoenea nchi nzima na hivi karibuni tunategemea kuongeza wigo kwa kutumia mawakala wa Benki ambao ni zaidi ya 20,000 nchi nzima”.