У нас вы можете посмотреть бесплатно Kocha AS FAR Rabat asema Yanga ni timu nzuri ndani ya miaka mitatu iliyopita или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
YANGA vs FAR RABAT: “Matarajio yetu ni kuwa na mechi ngumu sana” Kocha wa AS FAR Rabat Alexandre Santos, anasema kesho wanakutana na timu bora nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na wanatarajia kukutana na mechi ngumu. Kocha huyo anasema malengo yao mara zote ni kushinda mechi na kuwa bora lakini wanajua kwamba kesho wanakwenda kucheza na timu bora nchini Tanzania. Ni kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) ambayo itapigwa saa 10:00 jioni katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar na itakuwa LIVE #AzamSports4HD (Imeandikwa na @allymufti_tz) #CAFCL