У нас вы можете посмотреть бесплатно INJILI NA SADAKA YA UJENZI | UMASAINI MAGUNGU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Safari ya Jumuiya ya Area C Kaskazini, chini ya Usharika wa Arusha Road – KKKT, Jimbo la Makao Makuu, Dayosisi ya Dodoma, imeendelea kuimarisha urafiki wa muda mrefu na ndugu zetu wa Usharika wa Magungu. Maeneo haya yamebarikiwa na waumini wa jamii ya Wamasai, ambao kwa miaka ya nyuma waliokuwa wakisali chini ya mti. Leo hii, kwa neema na uwezo wa Mungu, ujenzi wa nyumba ya ibada unaendelea kukua hatua kwa hatua. Katika safari hii tuliweza: Kutoa sadaka ya ujenzi Kukabidhi nguo kama ilivyo desturi yetu Kutoa madirisha kwa ajili ya kuendeleza ujenzi Kushiriki ibada ya kukabidhi madirisha Kupokelewa kwa ukarimu wa hali ya juu, ambapo kila mshiriki wa Jumuiya alipewa zawadi Kufurahia chakula cha mchana pamoja na wenyeji wetu Kweli, watu wa Magungu wamethibitisha upendo, umoja na ukarimu usio na kifani. 👉 ENDELEA KUFUATILIA UfalmeTV Pata habari za maarifa, matukio ya kiroho, na Injili bila mipaka.