У нас вы можете посмотреть бесплатно Raila vs Ruto Parliament battle или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tofauti na malumbano kati ya waziri mkuu na wabunge waasi wanaoongozwa na mbunge wa eldoret kaskazini william ruto, yalijitokeza tena wazi bungeni alasiri hii. Majibizano ya maneno, yaliibuka, wakati wa muda anaotengewa waziri mkuu bungeni kila jumatano, kusutana kuhusiana na tofauti kuanzia masuala ya icc, katiba na kubadilika kwa misimamo kuhusiana na kuundwa kwa mahakama maalum hapa nchini. Waaasi hao walimkosoa waziri mkuu kwa kuwakejeli kuwa hawana haki ya kuzungumzia katiba ilhali walikuwa mstari wa mbele kuipinga wakati wa kura ya maoni. Waziri mkuu naye alijitetea akisema waasi hao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa yeye anahusika na masaibu ya washukiwa kupelekwa huko the Hague.