У нас вы можете посмотреть бесплатно MAGAZETI MARCH 19: LISSU AMSHUSHIA LAANA LIPUMBA! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAGAZETI MARCH 19: TUNDU LISSU AMSHUSHIA LAANA LIPUMBA Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu,(Chadema), amemshukia Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba kwamba dhambi ya usaliti aliyoifanya kwa nguli wa siasa Zanzibar,Maalimu Seif Sharif Hamad, haitamwacha salam. Kauli ya Lissu pia imekuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kuridhia uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa,Jaji Francis Mutungi wa kumtambua Profesa Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF halali. Proesa Lipumba ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CUF,mwaka 2015 alitangaza kujiuzuru nafasi yake, akipinga ujio wa Waziri Mkuu wa zamani,Edward Lowassa kuwa mgombea urais aliyeungwa mkono na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Baada ya uchaguzi mkuu kumalizika na Lowassa ambaye alisimama kwa tiketi ya Chadema,kuibuka na kura milioni sita akichuana vikali na mgombea wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Rais John Magufuli amabye aliibuka mshindi kwa kura zaidi ya milioni 8, Profesa Lipumba alitangaza kurudi CUF na kulazimisha kurejea kwenye kiti chake,jambo ambalo lilipingwa vikali na mwanzo wa mgogoro huo. #MAGAZETILIVE https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho