У нас вы можете посмотреть бесплатно Wafahamu Makamanda 20 wa JWTZ Walioongoza Vita ya Kagera | Historia | Siku ya Mashujaa Tanzania или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Julai 25 kila mwaka nchini Tanzania huadhimishwa siku ya Mashujaa. Siku hii ilifanywa kuwa siku ya mashujaa baada ya wapiganaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ, waliotoka Uganda wakati wa vita vya Kagera kupokelewa nchini siku ya Julai 25 mwaka 1979. Mapokezi hayo yalifanyika katika kijiji cha Bunazi, Missenyi huko mkoani Kagera. Ni katika siku hii ndipo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitangaza rasmi kumalizika kwa vita kati ya Tanzania na Uganda. Nguvu ya majeshi ya Tanzania katika vita hiyo na Uganda ilikuwa na jumla ya Divisheni moja ya Vikosi Maalum. Divisheni iliyopigana iliitwa Divisheni ya 20 iliyoundwa na Brigedi za 201, 205, 207, 208 na Brigedi ya Kagera. Pia kwa Vikosi Maalum au kama ilivyofahamika Task Force iliundwa na Brigedi ya 206 na Brigedi ya Minziro. Kumbuka tunaposema Brigedi inamaanisha ni kikundi cha wanajeshi chenye idadi ya maofisa na askari kati ya 3,000 mpaka 5,000 kama ilivyo kwa mfumo wa majeshi mengi duniani. Tunakuletea wasifu wa makamanda 20 wa ngazi za juu wa JWTZ walioongoza wapiganaji katika vita ya Kagera kama inavyofahamika nchini Tanzania au vita ya Ukombozi inayoitwa huko Uganda. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.