У нас вы можете посмотреть бесплатно Vilio vyatawala Ndugu wakiaga mwili wa Tarimo aliyetuhumiwa kumuua Beatrice kumchoma visu mara 25 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rombo.Mwili wa Lucas Tarimo aliyetuhumiwa kumuua Beatrice Minja(47) kwa kumchoma visu mara 25 mwilini mwake na kusababisha kifo chake, tayari umewasili nyumbani kwake, katika kijiji cha Mbomai, Tarafa ya Tarakea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro, kwa ajili ya Maziko, ambayo yanafanyika leo. Mwili huo umewasili nyumbani saa 8:50 mchana ukiwa kwenye gari ya polisi na kuibua vilio na simanzi kutoka kwa ndugu na mamia ya waombolezaji waliofika nyumbani hapo kwa ajili ya maziko. Baada ya mwili huo kuwasili nyumbani, umeingizwa ndani kwake ambapo familia, ndugu na jamaa wamepata nafasi ya kuingia kuuaga, huku baadhi ya ndugu wakishindwa kujizuia kwa kilio na wengine wakizimia.