У нас вы можете посмотреть бесплатно Maamuzi yako ya kifedha | Behavioral Economy | или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa nini mara nyingine unafanya maamuzi ambayo unajua hayana mantiki — kama kununua vitu visivyo na umuhimu, kuahirisha kazi muhimu, au kuendelea na jambo linalokuletea hasara? Hii ndiyo nguvu ya Behavioral Economics — dhana ya uchumi wa kitabia inayoelezea jinsi hisia, mazingira, tabia na mazoea yanavyoathiri maamuzi yetu ya kila siku. Katika video hii, utajifunza: Kwa nini watu huchagua kutumia hisia na sio Akili Mifano halisi ya maisha na biashara Namna ya kujitambua na kuboresha maamuzi yako 📌 Tazama hadi mwisho ujifunze jinsi ya kuishi kwa uelewa zaidi wa nafsi na maamuzi yako. #BehavioralEconomics #UchumiWaKitabia #JamesAtilio #Maamuzi #PsychologyAndEconomics #UchumiRahisi #SelfAwareness #LifeDecisions #PersonalGrowth #MotishaYaMaisha James Atilio Mchumi Wa Sera Mipango na Maendeleo ya Jamii