У нас вы можете посмотреть бесплатно KARIM MANDONGA vs MAGAMBO CHRISTOPHER или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
VIDEO kwa hisani Azam TV ndiyo Wana haki miliki BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Twaha Kiduku amefanikiwa kumtwaa mkanda wa Ubingwa wa UBO Afrika kwa kumtwanga Alex Kabangu raia wa DR Congo huku akiutoa ubingwa huo kama zawadi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Katika pambano hilo la raundi nane ambalo limepigwa usiku wa kuamkia jana Jumapili kwenye Ukumbi wa Tanzanite uliopo Morogoro Mjini. Pambano hilo ambalo lilikuwa limedhaminiwa na Gazeti la Championi, Smartgin, Global TV, SMH & Logistic Coach, Magadu Hotel, Creative Bee, Bongo Boxing Safari Roby One Pharmacy huku likihudhuriwa na viongozi wengi wa Serikali akiwemo mkuu wa Wilaya ya Morogoro mjini, Albert Msando. Licha ya Kiduku kufanikiwa ushinda lakini pambano hilo lilikosa mvuto wa kiufundi kutokana na mabondia wote wawili kucheza muda mwingi wakikumbatiana huku ngumi zikikosa mpangilio ambao mashabiki wengi waliutarajia. Mara baada ya kushinda pambano hilo, Kiduku alisema kuwa anamshuku Mungu kwa kuweza kushinda pambano hilo huku akitoa ushindi huo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kuweza kutimiza mwaka mmoja akiwa madarakani. Kwa upande wa Kabangu ameyapinga matokeo hayo kwa kusema Kiduku amebebwa na wala hakustahili ushindi huo kutokana na muda mwingi yeye kumpiga. Mabondia wengine wakishinda mapambano yao ni Juma Misumali amemchapa KO, Joseph Kafirikoko, Paul Magesta akimchapa Shaban Kabuji, Fatuma Yazidu na Zawadi Kutaka wakitoka sare, Stumai Muki akimshinda Lulu Kayage. Joseph Mchapeni amemchapa Peter Intinginya kwa pointi sawa na Pascal Manyota aliyembonda John Luwa wakati Karim Mandonga amepoteza kwa KO ya raundi ya kwanza dhidi ya Magambo Christopher. @Bongo Boxing Safari @Bongo Boxing Safari @Bongo Boxing Safari @Bongo Boxing Safari #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download BONGO BOXING APP: ⚫️ ANDROID: https://play.google.com/store/apps/de... ⚫️TUNAPATIKANA KUPITIA: https://bongoboxingsafari.co.tz/ ⚫️ OUR SOCIAL NETWORK ⚫️ TWITTER: / media ⚫️ INSTAGRAM: / cvdjrfdkl. . ⚫️FACEBOOK: / bongo-boxing. . ⚫️ WASILIANA NA BONGO BOXING SAFARI ⚫️ Email: info@bongoboxingsafari.co.tz