У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais Ruto awakilisha pole kwa familia ya Johana Ng'eno, mazishi kufanyika Ijumaa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Marehemu mbunge wa emurua dikirr johana ng'eno atazikwa siku ya ijumaa nyumbani kwake Mogondu, kaunti ya Narok. Kamati ya kupanga mazishi imetangaza kuwa ibada ya wafu ya mbunge ng’eno na watu wengine watano walioangamia kwenye ajali ya ndege ya jumamosi itaandaliwa jumatano na alhamisi nairobi na pia katika kaunti ya Narok. Rais William Ruto ambaye alizuru makazi ya marehemu humo Karen hii leo kuomboleza na familia yake ametangaza kuwa serikali itasimamia gharama ya mazishi ya waathiriwa wengine wa mkasa huo.