У нас вы можете посмотреть бесплатно Alvella MUHIMBARE - MANUKATO ft Pin Pajo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
chorus: Pokeya wimbo wangu toka mwoyoni mwangu, nimejawa shukurani kwa yote umetenda , wimbo huu bwana naomba pokea ili uwe manukato yaliyo bora 1.JEHOVAH JIREH ,JEHOVAH RAPHAH, we ndiwe mungu pekee nitaamini , jiwe kuu la pembeni , wewe ndiwe nguzo yangu nafikia hatima yangu ukiniongoza bwana umeyajibu maombi yangu , umeyafuta machozi yangu , nakatika yale magumu yangu hukuniacha pekee 2.umekua kinga , umekua nguzo yangu hukuniacha baba ili niabike , nikiwa jangwani linipa maji nikanywa , ulinishika mukono hukuniacha nianguke sinamashaka na uoga YESU ndiye mulinzi wangu katika unyonge wangu azidi kuwa mwaminifu 3.umeyasikia maombi yangu , umeyajibu maombi yangu nashukuru