У нас вы можете посмотреть бесплатно Washuhudie waliotiwa mbaroni Mfumo wa uchotaji fedha za umma, wamo madiwani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Kanali Denis Mwila amesema tuhuma zilizotajwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni za kweli ambapo watu 40 wakiwamo Madiwani, Wataalamu wa Tehama (IT), Watumishi na Watendaji wa kata wanashikiliwa na tayari baadhi yao wamefikishwa mahakamani. Amesema hata kabla ya Rais kulizungumza, tayari walishaanza kulifanyia kazi tangu Julai 12, 2023 na kwamba mfumo huo wa ‘uchotaji’ fedha ulianza tangu 2018 na jumla ya Sh450 milioni zimeibiwa katika miaka mitano katika maeneo ya Mbeya, Njombe, Rukwa, Songwe na Ruvuma.