У нас вы можете посмотреть бесплатно Walinda amani wanawake wa UN kutoka Tanzania wanavyosongesha haki nchini DRC или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili #Tanzania #drc #jwtz #monusco #tanzqrf05 Wakati dunia ikielekea kuadhimisha siku ya wanawake tarehe 08 Machi mwaka huu, tuelekee huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) ambako walinda amani wanawake wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania nao ni sehemu ya wanajeshi wanaotekeleza jukumu la ulinzi wa amani, na katika mada hii kwa kina tunamulika ni kwa vipi ushiriki wao umekuwa sehemu ya ufunguo wa mafanikio ya jukumu la Ulinzi wa Amani na usalama la Umoja wa Mataifa jimboni Kivu Kaskazini, Mashariki mwa taifa hilo la Maziwa Makuu. Afisa Habari wa Kikosi cha msaada wa haraka cha Tano cha Tanzania (TANZQRF-05) kinachohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO, Kapteni Ally Ituja amefuatilia mchango wao na kuandaa mada hii kwa kina inayowasilishwa na Praiveti Habib Shaban. Pata taarifa ya habari, makala, habari kwa picha , mahojiano na matukio kuhusu masuala ya kibinadamu, SDGs na mengine mengi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. Ni "Habari za UN" kutoka makao makuu ya UN New York City.