У нас вы можете посмотреть бесплатно KAMATI YA BUNGE YATINGA KITUO CHA HOROHORO, WALICHOKIKUTA HIKI HAPA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TANGA: KAMATI ya Kudumu ya bunge ya viwanda na biashara imeridhishwa na ukusanyaji wa mapato katika kituo jumuishi cha forodha horohoro huku ikiielekeza serikali kuboresha mazingira ya kazi Ili waweze kuongea ufanisi wa ukusanyaji wa mapato. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Marium Ditopile wakati wa ziara ya kamati hiyo ilipotembelea kituo hicho kujionea utendajikazi wake. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09