У нас вы можете посмотреть бесплатно 🧠 DALILI na SABABU ZA KIHARUSI kwa WATU CHINI YA MIAKA 60 | Hatari za Stroke. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unaweza Kupata kiharusi (stroke) ukiwa na miaka 30, 40 au 50? Jibu ni NDIO! Katika video hii muhimu kutoka TNA CARE, tunachambua kwa kina: ✔️ Dalili za awali za kiharusi ✔️ Sababu kuu za kiharusi kama vile presha ya kupanda, kisukari, cholesterol, na msongo wa mawazo ✔️ Magonjwa sugu yanayochangia kupooza mapema ✔️ Njia za kujikinga mapema dhidi ya stroke ✔️ Hatua za kuchukua mara moja ukiona dalili ➡️ Video hii ni muhimu kwa kila mtu aliye chini ya miaka 60, hasa kama una historia ya magonjwa ya moyo au presha. ⚠️ Usipuuze dalili ndogo! Kiharusi kinaweza kumpata yeyote — hata vijana. Fahamu hatari, linda afya yako na ya familia yako. 📌 Tazama hadi mwisho ili ujifunze mbinu sahihi za kuzuia kiharusi na kuchukua hatua mapema! 💬 Tuambie kwenye comments: Umewahi kuona mtu mwenye dalili za kiharusi akiwa na umri mdogo? Je, una maswali kuhusu magonjwa yanayosababisha kiharusi? 👉 Bonyeza Like, Subscribe, na Washa kengele kwa taarifa zaidi za afya kutoka TNA CARE #kiharusi #dalilizakiharusi #stroke #strokewarningsigns #kupooza #strokekwavijana #sababuzakiharusi DAKTARI WAKO KIGANJANI.. This YOUTUBE channel is the official channel of TIBA NA AFYA CARE, in short it should be known as TNA CARE, This channel is for the MEDICAL & HEALTH content. As a media house TNA CARE will have the same role as other media such as informing and educating. Contact us by phone number +255 759 399 919 or email : tnaafya@gmail.com, Instagram: tibanaafya_tna, Facebook Page : TIBA na AFYA - TNA, TikTok : tibanaafya_tna STAY INFORMED, STAY HEALTHY.