У нас вы можете посмотреть бесплатно SHULE MPYA YA MSINGI MKAKO KUANZA MACHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KAMATI YA SIASA RUVUMA YARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA SHULE MPYA MKAKO Kamati ya siasa Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Oddo Mwisho imekagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kata ya Mkako Halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma. Mradi huo unatekelezwa kupitia program ya BOOST kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 408 unatarajia kukamilika Machi mwaka huu. Utekelezaji wa mradi huo ulioanza Novemba 2025 umefikia zaidi ya asulimia 50