У нас вы можете посмотреть бесплатно DU! ONA TAZAMA SIKILIZA DKT SAMIA ALIVYO JINADI KWA KIHEHE HUKU AKISHANGAA UMMAULIVYO MWAGIKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UJIO wa mh mgombea uraisi kipitia kiti cha CCM Dkt Samia Suluh Hassan alipambana na umma macho kwa macho ambapo alishindwa kuamini macho yake ambapo WANYALUKOLO HAO walivyokuwa na hamu ya kumlaki mgombea wao. Kutokana na uwepo wa hali hiyo mgombea hakuweza kutumia nguvu nyingi sana za kuzinadi sera za irani za ccm kwa dalili ile niwazi kwamba wananchi walikwenda kumuona ili wamlinganishe na kazi kubwa aliyoitenda mkoani hapo. Ni ukweeli usiopingika Mama dlkt Samia Suluh Hassan afanyi kazi ili mradi kafanya bali anafanya kazi kwa matumaini na kwa nguvu kubwa ili tufike kwenye maendeleo ya ukweli ambapo kila mmoja acaidi matunda au keki ya watanzania. Kwa ujumla kauli mbiu yake ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE huendana na kasi yake ya uchapaji kazi Nahivyo ndivyo watakavyo ombwa watanzani watumishi au si watumishi wachape kazi ili kuonyesha muonekano wa maendeleo LKN PIA pamoja na hayo amewaahidi wananchi wa hapo kuongezwa kwa ujenzi wa kiwanda cha matunda na mbogambogabni mimi Ni mimi abdallah Ahmed amkanalile afisa habari mkoa morogoro kupitia chamata association