У нас вы можете посмотреть бесплатно Dunia by Gospel voice SDA Beni или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Album : Mwamba imara Song : DUNIA Choir : Gospel Voice Cd ; SDA church : NTONI, BENI DRC Subscribe to our Chanel / Abonnez-vous à notre chaîne / @gospelvoicesdantonicd1809 Mwamba Imara: • Mwamba Imara by Gospel voice SDA Beni Lyrics: 1. Dunia hii tuishimo ndani Dunia kwakweli yafika mwisho Maana kila kukicha ni habari zakutisha. Watu wengi waishimo ndani hawana tena huruma maana kuuwana kwao ime kuwa kawaida x2 𝗥𝗲𝗳𝗿𝗮𝗶𝗻: Dunia Dunia hii Sayari dunia hii ime zeeka kwa kweli karibuni itazama Watu wengi waishimo ndani, hawana roho ya huruma wana cheka nasi kumbe ndani ni hatari, Wana vaa ngozi ya kondoo kumbe ndani umbwa mwitu mkali, “Molah” Mwenye huruma utufunze tuwe kama wewe. (x2) 2. Jamii kwa jamii Zina tengana Ndugu kwa ndugu wana achana Taifa kwa Taifa hawa elewani ugomvi ndio wimbo. Ma Kanisa yamekuwa mengi Ugaidi pia waongezeka Ma Nabii wauongo wame jitokeza dunia ina kwisha. X2 𝗥𝗲𝗳𝗿𝗮𝗶𝗻: Dunia Dunia hii Sayari dunia hii ime zeeka kwa kweli karibuni itazama Watu wengi waishimo ndani, hawana roho ya huruma wana cheka nasi kumbe ndani ni hatari, Wana vaa ngozi ya kondoo kumbe ndani umbwa mwitu mkali, “Molah” Mwenye huruma utufunze tuwe kama wewe. (x2) 𝗦𝘂𝗯𝘀𝗰𝗿𝗶𝗯𝗲 𝗮𝗻𝗱 𝘀𝗵𝗮𝗿𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝘃𝗶𝗱𝗲𝗼 • Dunia by Gospel voice SDA Beni