У нас вы можете посмотреть бесплатно KAYA ZAIDI ZA 130 ZILIZOVAMIA SHAMBA LA SERIKALI LA MITAMBA KIBAHA MJI ZATAKIWA KUONDOKA HARAKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
VICTOR MASANGU/PWANI Uongozi wa Halmashauri ya Mji Kibaha mkoani Pwani imetoa onyo kali na kuzitaka kaya zaidi ya 130 ambazo zimepatiwa notisi mara mbili kuondoka haraka iwezekanavyo kwenye eneo la mitamba kiwanja namba 34 lililopo kata ya Pangani ili kupisha zoezi la ubomoaji lisilete hasara kwa wavamizi hao. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji wa Kibaha wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusiana na wavamizi wa eneo hilo la shamba la mitamba muda wa notisi umeshapita na kilichobaki ni upimaji.