У нас вы можете посмотреть бесплатно NIMEKUJA KUKUABUDU(Worship Audio Song) -Mwl. Samwel&Winfrida Kihongo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu usikilize wimbo huu mpya wa kuabudu unaoinua jina la Bwana juu sana 🙌 “NIMEKUJA KUKUABUDU” ni wimbo wa ibada unaoonyesha unyenyekevu wa moyo mbele za Mungu. Tunapokuja mbele Zake hatuji kwa sababu tunastahili, bali kwa neema na rehema Zake. Kupitia wimbo huu tunapeleka maneno yetu kumwambia Bwana 🎵 Ninaleta na ibada… 🎵 Sifa hizi hazitosha ila Bwana pokea… Hata kama maneno yetu hayawezi kueleza ukuu Wake, bado tunachagua kuabudu, kusifu na kumtukuza kwa moyo wote. Hatuna cha kumpa Mungu kinacholingana na Upendo wake kwetu. Na hatuna zawadi inayoweza kulipa wema wake.....Hapo tunaweza kumwambia Mungu tunaleta Moyo Uliopondeka mbele zako. Wimbo huu ni maombi, ni Sadaka ya shukrani, na ni sauti ya kizazi kinachomwabudu Mungu katika roho na kweli. 👉 Tafadhali: Ungana nasi kwa kupitia ✔ Like ✔ Comment ✔ Share ✔ Subscribe kwenye channel ya WnU To Yahweh Delight ✔ Washa kengele 🔔 upate kila wimbo mpya mara tu utakapotoka. Bwana akubariki unaposhiriki ibada hii pamoja nasi 🙏 #NimekujaKukuabudu #WnU Ministry #ToYahwehDelight #GospelTanzania #Ibada #Sifa