У нас вы можете посмотреть бесплатно Dizasta Vina - Mbuzi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official Lyric video of the record MBUZI as prepared and performed by Dizasta VIna. Off the studio album, A father figure Stream/Download Youtube - • Dizasta Vina - Mbuzi Mdundo - https://mdundo.com/song/2936009 Boomplay - https://www.boomplay.com/albums/88641986 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/son... Apple music - / mbuzi-single Other Musical contents Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina Boom play - https://www.boomplay.com/artists/3288611 YouTube - / dizastavina Mdundo - https://mdundo.com/a/2263 Spotify - https://open.spotify.com/artist/1IC2b... Apple music - / dizasta-vina Deezer - https://www.deezer.com/artist/67967532 Spotify Playlist - https://open.spotify.com/playlist/37i... Connect with Dizasta Vina on social medias Instagram - / dizastavina Twitter - / dizastavina Facebook - / dizastavina07 https://sw.wikipedia.org/wiki/Dizasta... Business: [email protected] Website - https://bio.link/dizastavina Lyrics Mbuzi alipata wadudu kwenye kwato Iliathiri furaha na nguvu alizonazo Mchungaji alihakikisha mbuzi ananawa Aliondoa wadudu wote kisha akamweka dawa Alikampangusa chawa akampa chakula kwa wakati Akamjengea chumba kwa nafasi Ajisikie huru, Akashika ratiba na itifaki Muda ukapita afya mbuzi ikatamalaki Mtaa ikahamaki ukasukwa uvumi Kuwa bwana Kheri Anatoa muda kisha sumni Japo hali yake ya uchumi ilikuwa ni duni Aliuza matunda mboga chache na kuni Hakuna siku mbuzi alipiga kelele kwa njaa Watu walimwonea gere balaa Alinawiri kwa kilele cha umaridadi Majambazi walipiga misele kadhaa Na usiku hauwi mwanana akisikia mbiu Mbuzi akilalama kwamba anahisi kiu Mchungaji alikuwa macho, Akatambua kuna Magonjwa nyemelezi akavumbua chanjo Mbuzi aling’ara alinona Manyoya yalitawala kuashilia afya kila kona Hakuwepo hata mwanga mmoja wa kuroga Hata Waliojaribu kuchanja walikoma Najiuliza maana ya upendo nini Mpaka uwe na kingi ndio ushee? Au pesa kipindi michango ya sherehe? Au mzazi anayetamani uendelee? Ndio maana anakulea ile umlee Inasadikika kuwa upendo wa kweli ni kujali Mama mzazi homa ikikushika tu halali Tabasamu analokupa unaposhika Masarali Ungekuwa hai ingekuwa kutoa mimba ni halali? Wazalendo wanahitaji hela na nyadhifa Wanalipwa kutetea sera za taifa Wadini wanakumbatia itikadi na imani yao Mpaka wanamwaga damu wenzao Au mapenzi kwenye timu inapoingia mtimani Unaumia inashika mkia na hauhami Kufichiana dhambi tabia wanayoisifia masela Au mjeshi anavyofia bendera Nani anajua siri ya kupenda penda? (Ni) kujitoa sadaka kwa ajili ya mwenza? Wapo wanaosema kuwa kupenda ni ushupavu Wanaumizwa wanachukia wanaandika vitabu Ukijua mwenza wako ana mtu anampenda Utampa nafasi aende upige moyo konde? Mama akifariki na una dawa ya kusahau maumivu Swali ni utakula vidonge? Je upendo wa kweli ni mpaka aagize mungu? Aliyesema ufuge paka alafu umchinje kuku Amemmtoa mwanaye kama mdhamini msalabani Awafie watu ambao dini hazifanani Bado Mawazo yananisumbua nasinzia Nawaza ingekuwaje tungechagua familia Je mtoto angempenda baba angekuwa lofa? Au Baba angemchagua mtoto angejua ni shoga? Wanandoa tungekuweka kwenye Time Chamber Muda urudi ungemchagua patner wako tena? Wangapi wanawish wangepita sehemu hii? Wangapi wangemchagua Justin Bieber na Jay Z? Kabla ndoa haijakufunga pini Jiulize kama mkeo angekuwa na wewe ka' ungekuwa chini? Licha ya hizi nyimbo zinazofanya watu walie sana Washikaji walingoja niwe msanii ndio niwe mwana Pengine inabadili maana ya upendo Na kuacha swali upendo je ni haja au matendo? Mchungaji alifuga mbuzi alifuga na ajenda Alimjali lakini si kwa sababu alimpenda Kwani ilipofika sikukuu alitoa vitu Sufuria jungu kuu akanoa visu Yule mbuzi mzuri aliyenona sana Ndiye aliyechinjwa na adhuhuri alichomwa nyama read more about Mbuzi https://genius.com/Dizasta-vina-mbuzi...