• ClipSaver
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

TRUMP AJA NA MPYA, AAMURU MAREKANI KUJIONDOA WHO NA KUFUTA URAIA WA KUZALIWA скачать в хорошем качестве

TRUMP AJA NA MPYA, AAMURU MAREKANI KUJIONDOA WHO NA KUFUTA URAIA WA KUZALIWA 4 months ago

Mwananchi

Thecitizen

Mwanaspoti

Tanzania News

Habari Tanzania events

wema

Magufuli

yanga sc live

yanga sc leo

yanga sc day

simba scene

simba sc leo

simba sc live

clatous chama simba sc

entertainment news

entertainment channel

mashabiki wa yanga leo

mashabiki wa simba leo

samia

mbowe

ali kamwe

fei toto

ahmed ally

yanga sc vs al ahly

goli la yanga vs al ahly

mechi ya mwisho yanga vs al ahly

simba vs jwaneng galaxy highlights

simba vs jwaneng galaxy magoli

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TRUMP AJA NA MPYA, AAMURU MAREKANI KUJIONDOA WHO NA KUFUTA URAIA WA KUZALIWA
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: TRUMP AJA NA MPYA, AAMURU MAREKANI KUJIONDOA WHO NA KUFUTA URAIA WA KUZALIWA в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно TRUMP AJA NA MPYA, AAMURU MAREKANI KUJIONDOA WHO NA KUFUTA URAIA WA KUZALIWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон TRUMP AJA NA MPYA, AAMURU MAREKANI KUJIONDOA WHO NA KUFUTA URAIA WA KUZALIWA в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



TRUMP AJA NA MPYA, AAMURU MAREKANI KUJIONDOA WHO NA KUFUTA URAIA WA KUZALIWA

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri kadhaa za kiutendaji baada ya kuapishwa, ikiwemo kufuta haki ya uraia wakuzaliwa kwa watoto wa wahamiaji haramu na wenye viza za muda. Uamuzi huu umebadilisha tafsiri ya muda mrefu ya marekebisho ya 14 ya Katiba ya Marekani, ambayo yalikuwa yakitoa uraia wa kuzaliwa kwa yeyote aliyezaliwa nchini Marekani, bila kujali hali ya kisheria ya wazazi wake. Kwa mujibu wa amri hiyo mpya, watoto waliozaliwa Marekani hawatatambuliwa kama raia wa nchi hiyo iwapo wazazi wao ni wahamiaji wasio halali au wana viza za muda. Hatua hiyo itaanza kutekelezwa siku 30 kutoka sasa, na watoto watakaozaliwa nchini humo watahitajika kuwa na angalau mzazi mmoja ambaye ni raia wa Marekani au mkazi wa kudumu mwenye kadi ya kijani. Marekebisho ya 14 ya Katiba ya Marekani, yaliyopitishwa zaidi ya karne moja iliyopita, yamekuwa msingi wa uamuzi wa Mahakama ya Juu yanayowalinda watoto wa wazazi wa kigeni waliozaliwa nchini Marekani. hivyo, Trump amenda kinyume na uamuzi huo, akisisitiza kuwa sheria za sasa zimekuwa zikivutia wahamiaji haramu kuingia nchini humo. Aidha, Trump ametia saini amri nyingine inayolenga wahamiaji haramu waliopatikana na hatia za makosa makubwa ya jinai. Kwa mujibu wa amri hiyo, wahamiaji hao sasa watakabiliwa na adhabu ya kifo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupambana na uhalifu unaodaiwa kusababishwa na wahamiaji wasio halali. Hatua hizo zimeibua mjadala mkali miongoni mwa wanaharakati wa haki za binadamu na wataalamu wa sheria, wakisema kuwa mabadiliko hayo yanakwenda kinyume na misingi ya haki za binadamu na Katiba. Baadhi ya wakosoaji wamedai kuwa sera hizi mpya zinaweza kuongeza mgawanyiko wa kijamii na kushusha hadhi ya Marekani kama nchi yenye historia ya kukaribisha wahamiaji. Katika hatua nyingine, Rais Trump amesaini amri ya Marekani katika uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO). "Oooh, hii ni kubwa,” amesema Rais Trump baada ya kuletewa nyaraka za kusaini kujiondoa katika uanachama wa shirika hilo baada ya kusaini amri kadhaa nchini humo ikiwemo ya kuwataka wasiyo raia wa taifa hilo na wanaoishi Marekani bila kibali kuanza kujiondoa. Hiyo ni mara ya pili kwa Trump kuamuru Marekani ijiondoe WHo. Pia aliwahi kutaka Marekani ijiondoe kufuatia namna ambavyo ilikuwa inashughulikia mlipuko wa Ugonjwa wa Uviko-19 mwaka 2019. Hata hivyo, uamuzi huo ulitenguliwa baadae na Rais Joe Biden alipoingia madarakani. "Walikuwa (WHO) wakitutaka turejee vibaya mno kwenye shirika hilo sasa ngoja tuone itakuwaje,” amesema Trump. Kwa mujibu wa Trump uwepo wa Marekani katika Shirika hilo unaisababishia mzigo mkubwa kutokana na kuwa mchangiaji mkuu wa fedha ikilinganishwa na mataifa mengine yenye idadi kubwa ya watu akitolea mfano China.

Comments
  • FULL REMARKS: Bernie Sanders Issues Direct Warning About Trump's 'Authoritarianism' 50 minutes ago
    FULL REMARKS: Bernie Sanders Issues Direct Warning About Trump's 'Authoritarianism'
    Опубликовано: 50 minutes ago
    2375
  • KWA NINI MAGEUZI NI MUHIMU KATIKA USIMAMIZI WA MNYORORO WA THAMANI TANZANIA 1 day ago
    KWA NINI MAGEUZI NI MUHIMU KATIKA USIMAMIZI WA MNYORORO WA THAMANI TANZANIA
    Опубликовано: 1 day ago
    153
  • Prof Shivji Afunguka Uamuzi wa Mahakama Kuruhusu Rais, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kushitakiwa 4 hours ago
    Prof Shivji Afunguka Uamuzi wa Mahakama Kuruhusu Rais, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kushitakiwa
    Опубликовано: 4 hours ago
    9262
  • Маск пошел в атаку. Чем закончится конфликт с Трампом? 8 days ago
    Маск пошел в атаку. Чем закончится конфликт с Трампом?
    Опубликовано: 8 days ago
    33907
  • РУСТАМЗАДЕ: 9 hours ago
    РУСТАМЗАДЕ: "Это было сюрпризом. Путин изменил тактику войны". Новое наступление, разгар, F-16, КАБы
    Опубликовано: 9 hours ago
    163350
  • Wasiwasi watanda kuhusu Marekani kujiondoa 4 months ago
    Wasiwasi watanda kuhusu Marekani kujiondoa
    Опубликовано: 4 months ago
    64942
  • Hotuba Nzito ya Lissu Baada ya Kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti CHADEMA, Ampa Ujumbe Mzito Freeman Mbowe 4 months ago
    Hotuba Nzito ya Lissu Baada ya Kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti CHADEMA, Ampa Ujumbe Mzito Freeman Mbowe
    Опубликовано: 4 months ago
    218079
  • RAIS DKT. SAMIA AKIMPOKEA RAIS WA JAMHURI YA FINLAND MHE. ALEXANDER STUBB Streamed 1 month ago
    RAIS DKT. SAMIA AKIMPOKEA RAIS WA JAMHURI YA FINLAND MHE. ALEXANDER STUBB
    Опубликовано: Streamed 1 month ago
    98
  • Rais Donald Trump aiondoa Marekani kwa shirika la WHO 4 months ago
    Rais Donald Trump aiondoa Marekani kwa shirika la WHO
    Опубликовано: 4 months ago
    64104
  • CHEKECHE | Rais mpya wa Marekani, Donald Trump na ‘kizaazaa’ katika baadhi ya maagizo yake 4 months ago
    CHEKECHE | Rais mpya wa Marekani, Donald Trump na ‘kizaazaa’ katika baadhi ya maagizo yake
    Опубликовано: 4 months ago
    1955

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5