У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUJENGA UCHUMI WAKO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika somo hili la dakika 15 tunazungumzia mambo muhimu ya kuzingatia katika kujenga uchumi wako. Watu wengi hutamani kuwa na maisha bora kifedha lakini mara nyingi hukosa kanuni na misingi sahihi ya kusimamia fedha zao. Kupitia somo hili utapata ufahamu juu ya umuhimu wa kuwa na nidhamu ya fedha, kupanga matumizi yako, kuepuka madeni yasiyo ya lazima, kuweka akiba na kujenga mahusiano sahihi yatakayokusaidia kukua kiuchumi. Pia tunaangazia nafasi ya moyo wa utoaji na namna unavyoweza kuwa sehemu ya baraka katika maisha ya mtu. Uchumi mzuri haujengwi kwa bahati, bali hujengwa kwa maarifa, maamuzi sahihi na nidhamu ya kifedha.Hili ni somo muhimu kwa kila mtu anayetaka kubadilisha maisha yake na kuweka msingi imara wa uchumi wake. 📌 Tazama somo hili hadi mwisho na usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili kuendelea kupata mafundisho na maarifa zaidi. #Uchumi #MaarifaYaFedha #FinancialWisdom #Maendeleo #Motisha