У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwongozo wa Bembea Ya Maisha: Utangulizi wa Tamthilia или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Huu ni Mwongozo wa Bembea ya Maisha, tamthilia iliyoandikwa na Timothy M. Arege, mwandishi aliye na tajriba kubwa ya uandishi. Arege ameandika vitabu vingi ikiwemo tamthilia mashuhuri ya Mstahiki Meya iliyokuwa tamthilia teule kabla ya ujio wa Kigogo. Katika sehemu ya kwanza, tutaangazia muhtasari wa maonyesho. Sehemu ya pili itaangazia maudhui. Katika huu Mwongozo wa Bembea ya Maisha tutaangazia maswala yajitokezayo katika kazi yake Timothy Arege. Tamthilia hii inahusu mwanaume kwa jina Yona na mkewe aitwaye Sara. Wawili hawa wameyapitia magumu mengi ya maisha na kuweza kuyavumilia na kuvumiliana wenyewe. Maisha yao yamekuwa na pandashuka nyingi jambo lililo kawaida maishani.