У нас вы можете посмотреть бесплатно Makosa haya 5 hatari ya ISO setting yanavyoharibu picha zako❌ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
.Je, unatumia ISO vibaya bila kujua na kuharibu picha zako? 😮📸 Katika video hii, nakushirikisha makosa 5 hatari ya ISO setting ambayo wapiga picha wengi hufanya na kusababisha picha kuwa na noise nyingi, kupoteza details, au kuonekana zisizo na ubora. Utajifunza: ✅ ISO ni nini na inafanya kazi vipi ✅ Jinsi ya kuepuka noise kwenye picha ✅ Namna ya kuchagua ISO sahihi kulingana na mazingira ya mwanga ✅ Siri za kupata picha safi na zenye ubora wa juu Kama wewe ni beginner au tayari unajifunza photography, video hii itakusaidia kuboresha ubora wa picha zako mara moja. . . . . . . . . .Karibu kwenye channel yangu ya JOSEPHKILEKA Tunafundisha upigaji picha, kushoot video, na content creation kwa lugha rahisi ya Kiswahili. 🔔 *SUBSCRIBE* sasa hivi na *bonyeza kengele* 🔔 kupata video mpya kila wiki! 📢 *Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii:* • Instagram: [@josepkileka] https://www.instagram.com/josephkilek... • TikTok: @josepkileka] https://www.tiktok.com/@josephkileka?... #UpigajiPicha #Videography #ContentCreation #YouTubeKiswahili #josephkileka #tanzaniaphotographer #pichabora #kameranzuri #socialmedia #contentcreator Je, unahitaji msaada wa **kubinafsi zaidi kwa aina maalum ya video? Au unataka mafunzo na kujua ambacho haujakielewa Nipo tayari kukusaidia! 😊 namba ni 0756801694