У нас вы можете посмотреть бесплатно JACK SIMELA Alivyozikwa, Vilio Vyatawala, ManFongo Amfungukia! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JACK SIMELA Alivyozikwa, Vilio Vyatawala, ManFongo Amfungukia! JUMAMOSI Iliyopita Msanii wa muziki wa Uswazi Mchiriku, Jackson Simela 'Dogo Jack', na wenzake watano walipata ajali ya gari na kufariki dunia papo hapo maeneo ya Nanenane mkoani Morogoro. Kwenye ajali hiyo iliyotokea jirani na kituo cha Mafuta cha nanenane Dogo Jack alikuwa na wenzake 6 wakielekea makaburini kumzika ndugu wa msanii huyo aitwaye Elizabeth Kazimoto ndipo walipogongana uso kwa uso na lori aina ya scania. Mmoja wa mashuhuda aliyejitambulisha kwa jina la Chopa Ally alisema kwa jinsi alivyoshuhudia ajali hiyo ilitokana na uzembe wa dereva aliyekuwa akiendesha gari dogo alilokuwemo marehemu Dogo Jack. Watu sita waliokuwa kwenye hilo gari dogo walikufa hapohapo huku majeruhi mmoja Abdul akiwa amekimbizwa hospital baada ya kichwa kufunuka na kuvunjika mguu. #RIPJACKSIMELA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw..