У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMA AUAWA KWA KUCHOMWA KITU CHENYE NCHA KALI, MWANAE AUAWA NA WANANCHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika tukio la kusikitisha lililotokea kijijini Orongadida, kata ya kash Babati manyara kijana aitwaye Jamal Yusuph (28) anadaiwa kumuua mama yake mzazi, Zauda Shabani (57), kikatili kwa kutumia kitu chenye ncha kali na muda mfupi baada ya kutekeleza unyama huo, wananchi wenye hasira kali walimvamia kijana huyo ndani alipokuwa amejifucha na kumuua. TUKIO hili limetokea April 12,majira ya nne asubuhi na inasemekana kwamba kijana huyu alikuwa mlevi na walikuwa na ugomvi wa mara kwa mara na mama yake Mwandishi wa Ayotv Amefika Katika Kijiji Cha orongadida na kutuletea simulizi kamili